Herbert Kungah ameteuliwa kuongoza kitengo cha masoko cha Ligi Kuu ya Somalia. Kungah, ambaye ni mtaalamu wa masoko ya michezo na aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Sofapaka, anakuja na uzoefu wa zaidi ya muongo mmoja katika nyanja za soka, masoko ya michezo, udhamini na ushirikiano wa kimkakati. Atajikita katika kuimarisha hadhi ya kibiashara ya ligi hiyo, kukuza chapa yake, kujenga ushirikiano wa kimkakati na kutafuta fursa mpya za mapato. Hapo awali, Kungah aliwahi kuichezea timu ya Nairobi City Stars katika ligi ya KPL.
Anga kavu zinashuhudiwa Nyahururu, Nyeri na Nanyuki.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.