Seneti inaanza mpango wake wa wiki nzima wa 'Seneti Mashinani' katika Kaunti ya Kilifi leo, ikihamishia shughuli za kikao na kamati nje ya Nairobi ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuleta Bunge karibu zaidi na wananchi. Vikao hivyo, vitakavyofanyika kuanzia leo hadi ijumaa, vitawapa wakazi fursa ya kufuatilia shughuli za Seneti, kushirikiana na wabunge, na kuibua masuala yanayoathiri jamii zao. Aidha, kamati za Seneti zinatarajiwa kufanya ziara za usimamizi katika miradi teule ya serikali ya kitaifa na kaunti.
Advertisement
September 21, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing