Naibu Rais Kithure Kindiki anatarajiwa kufanya ziara kadhaa za maendeleo katika Kaunti ya Tharaka Nithi hii leo. Atakagua kazi zinazoendelea katika Barabara ya Mukothima-Gaciongo-Gatunga na Barabara ya Kithaga-Matiri. Aidha, Kindiki ataongoza hafla ya kuhamasisha umma katika Soko la Matiri, ikiwa ni sehemu ya shughuli za serikali za maendeleo na ushirikishwaji wa wananchi katika kaunti hiyo.
Advertisement
September 21, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing