Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku amewarudishia shoka wazee wa Eneo la Mlima Kenya, akiachana na msukumo wa kugawanya mlima na kuchukua jukumu jipya la kutetea upatanisho na umoja. Wakati wa sherehe ya kitamaduni na wazee, Ruku alirudisha shoka, ishara ya mwisho wa wito wa kugawanya eneo la Mlima Kenya. Baadaye wazee walimpa Ruku mgwishu na kumpa jukumu la kupeleka ujumbe wa upatanisho na umoja kwa watu wa eneo hilo na nchi kwa ujumla.
KITHURE KINDIKI - RUKU