Barcelona ilifungua pengo la pointi sita kileleni mwa La liga kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya Sevilla. Mfungaji bora Raphina alipata hat trick na kuongeza idadi yake ya mabao hadi 12 msimu huu baada ya mechi saba, huku Youssef Fofana akifunga moja kwa Sevilla. Wakati huo huo Celta Vigo iliichapa Santander mabao 5-0, Osasuna ilitoka sare ya 1-1 na Vallovano na Athletic Bilbao ikitoka sare ya 0-0 na Alves. Mechi zinaendelea usiku wa leo huku Real Madrid ikicheza na wapinzani wao wa mjini Atletico Madrid, Villareal ikicheza na Levante, Real Betis ikicheza na Deportivo na Valencia ikicheza na Real Sociedad.

Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Kisumu, Eldoret na Kakamega.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.