Serikali ya kitaifa imeanzisha ujenzi uwanja wa michezo wa kisasa katika Kaunti ya Samburu katika mji wa Maralal, unaolenga kukuza vipaji vya michezo miongoni mwa vijana wa eneo hilo. Akizungumza wakati wa sherehe ya uzinduzi, Waziri wa Ulinzi Soipan Tuya alisema serikali imejitolea kuboresha miundombinu ya michezo kote nchini. Waziri huyo alisema uwanja huo utakuwa na uwezo wa kukaa watu elfu kumi na una uwanja wa riadha, uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu, vyumba vya kubadilishia nguo, banda la watu mashuhuri na taa za mechi za usiku.
Advertisement
September 20, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing