Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amewaonya wazalishaji na wauzaji wakuu wa pombe haramu, wanaoendesha viwanda haramu kwamba serikali inaanzisha msako mkali ili kuvunja mitandao yao. Akizungumza huko Nyeri, Murkomen aliipongeza kaunti hiyo kwa kupunguza kiwango cha unywaji wa pombe. Alisisitiza kwamba mamlaka zitawalenga wale wanaowapa raia sumu kwa pombe ya bei rahisi ili kulinda vizazi vijavyo.

KIPCHUMBA MURKOMEN - ALCOHOL