Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amewaonya wanasiasa dhidi ya kuwaajiri vijana kuvuruga mikutano ya wapinzani au kujihusisha na uhuni. Murkomen anasema serikali inawafuatilia kwa karibu watu hawa na haitamruhusu mtu yeyote kutumia vurugu au matusi kuwagawanya raia. Anabaini kuwa mtu yeyote atakayepatikana na hatia atakabiliwa na nguvu kamili ya sheria.

KIPCHUMBA MURKOMEN - GOONISM