FKF, kwa ushirikiano na Shirika la Kupambana na Dawa za Kusisimua misuli nchini ADAK, walifanya warsha ya uhamasishaji wa kupambana na dawa za kusisimua misuli kwa timu zinazoshirikiana na FKF katika eneo la Magharibi jana huko Kakamega, kabla ya msimu mpya. Kikao hicho, kilichoongozwa na Maafisa wa Elimu wa ADAK na Afisa wa Kupambana na Dawa hizo wa FKF Elisha Mayeku, kililenga kuwasaidia wachezaji na maafisa wa timu katika ngazi zote kuelewa majukumu yao na umuhimu wa michezo safi.




Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.