Rais William Ruto amethibitisha utayari wa Kenya kuandaa Kombe la Mataifa ya Afrika la mwaka 2027 pamoja na Uganda na Tanzania. Kufuatia mkutano na Rais wa CAF Patrice Motsepe katika Ikulu, Rais Ruto aliangazia maendeleo makubwa katika miundombinu, ikiwa ni pamoja na Uwanja mpya wa Talanta Sports City na uboreshaji wa Uwanaj wa Kasarani. Kwa upande mwingine, CAF ilionyesha imani kamili kwa mataifa ya Afrika Mashariki kutoa mashindano yenye mafanikio.
Advertisement
September 19, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing