Mbunge John Kiarie ametangaza mipango ya kusasisha sheria za uskauti za Kenya. Kufuatia ziara ya kupima viwango nchini Korea Kusini, Rais huyo wa Umoja wa Wabunge wa Skauti Duniani alibaini kuwa sheria za sasa zilitungwa kabla ya Katiba mpya na ugatuzi, akiwataka wabunge kuzirekebisha ili uskauti uendane vyema na utawala wa kisasa.

JOHN KIARIE - SCOUTS