Serikali inasema Watu Wenye Ulemavu watapewa kipaumbele katika mgao wa rasilimali, huku hatua zikichukuliwa kuhakikisha wanapokea usaidizi unaokusudiwa kwao. Akizungumza wakati wa mkutano wa wadau katika Taasisi ya Elimu Maalum ya Kenya, Mkuu wa Ofisi ya Utofauti, Ujumuishi na Haki za Ulemavu Isaac Mwaura alisema serikali imejitolea kuhakikisha watu wenye ulemavu wanahesabiwa kikamilifu katika usambazaji na matumizi ya rasilimali katika Kaunti ya Nakuru na kote nchini.

ISAAC MWAURA - ACCOUNTED