Je, mpenzi wako anakufanyia vitendo vya unyanyasaji, lakini unaogopa kusema ukweli kwa sababu ya imani yako ya kidini au hofu ya kile ambacho watu wengine watasema kukuhusu uhusiano wenu? Mwanasaikolojia Lois Noo anaonya kuwa kukosa kuchukua hatua katika hatua za awali za unyanyasaji kunaweza kumfanya mnyanyasaji aongeze ukali wa vitendo hivyo. Anasema kuwa inakuwa vigumu zaidi kwa waathiriwa kusema ukweli pindi unyanyasaji unapozidi kuwa mkali na wa kikatili.
LOIS NOO – ABUSE