Mke wa Rais, Mama Rachel Ruto ameibua wasiwasi kuhusu tishio linaloongezeka la unyanyasaji wa watoto mtandaoni, akisema serikali lazima ziimarishe ushirikiano na kampuni za teknolojia, wazazi na jamii ili kuunda nafasi salama za kidijitali. Alisema mamlaka ya Kenya ilipokea zaidi ya ripoti elfu 46 za nyenzo za unyanyasaji wa kingono kwa watoto mtandaoni mwaka wa 2023. Rachel pia ametoa wito wa ushirikiano imara wa kimataifa ili kupambana na biashara haramu ya binadamu na kuvuruga mitandao ya kifedha inayounga mkono unyanyasaji.
Advertisement
September 18, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing