Watu wenye ulemavu na makundi mengine yaliyotengwa lazima wawe na sauti yenye maana katika michakato ya kisiasa na kidemokrasia ya Kenya. Mkuu wa Ofisi ya Utofauti, Ujumuishi na Haki za Ulemavu katika Ofisi ya rais, Isaac Mwaura anasema kwamba ujumuishi hauwezi kuwa kamili bila ushiriki katika kufanya maamuzi. Mwaura alisema ushiriki wa kisiasa ni muhimu sana kwa sababu sera na vipaumbele vya serikali huundwa kupitia michakato ya kisiasa.
ISAAC MWAURA - FORMED