Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyopinga uhalali wa Jopokazi la Rais kuhusu Ukatili wa Kijinsia na Mauaji ya Wanawake. Jaji Patricia Gichohi aliamua kuwa Rais alitumia mamlaka yake ya kikatiba alipounda jopokazi hilo kupitia Amri ya Kiutendaji na Tangazo la Serikali Januari mwaka uliopita. Kesi hiyo, ilidai kuwa Rais alikiuka mamlaka aliyopewa na Katiba kwa kuunda chombo ambacho majukumu yake yanapishana na yale ya Tume ya Kitaifa ya Jinsia na Usawa.
Advertisement
September 18, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing