Watu watano, akiwemo dereva wa matatu, walifariki katika ajali ya barabarani kwenye barabara kuu ya Nairobi-Mombasa eneo la Kapiti Plains, Athi River, Kaunti ya Machakos. Polisi walisema ajali hiyo ilitokea mwendo wa saa 7:40 jana usiku, ikihusisha lori aina na matatu. Kulingana na polisi na walioshuhudia, matatu hiyo ilikuwa ikitoka Mombasa kuelekea Nairobi wakati dereva wake alipojaribu kupita gari jingine kwa njia hatari. Inaripotiwa kuwa matatu hiyo iligongwa na lori lililokuwa likija kwa kasi kutoka upande wa pili.
Advertisement
September 17, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing