Serikali inasema inaweka hatua za kulinda maisha, mali na miundombinu muhimu kabla ya mvua inayotarajiwa ya El Niño. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen anawasihi wakaazi katika maeneo yaliyoorodheshwa kama yaliyo katika hatari ya kuathiriwa na mafuriko na maporomoko ya ardhi kufuata ushauri wa usalama kutoka kwa Maafisa wa Utawala wa Serikali ya Kitaifa na mashirika ya kibinadamu.
KIPCHUMBA MURKOMEN - EL NINO