Teknolojia inayobadilika kwa kasi inafanya kuwa vigumu zaidi kufafanua huduma muhimu za kimsingi za jadi. Kulingana na Waziri Mkuu Musalia Mudavadi, kuna haja ya mahakama, watunga sera na watunga sheria kupitia upya uainishaji wa kazi ili kwenda sambamba na ubunifu wa kisasa wa kiteknolojia. Mudavadi alisisitiza kuwa mifumo ya kisheria iliyopitwa na wakati lazima iendane na nguvu kazi ya kisasa ya kidijitali ili kudhibiti ipasavyo viwango vya ajira na kulinda wafanyakazi katika sekta zinazochipuka.
MUSALIA MUDAVADI - TECH
Read Also