Naibu Rais Kithure Kindiki amethibitisha umuhimu wa vyombo vya habari huru na mashirika imara ya kiraia katika michakato ya kidemokrasia ya Kenya, tunapoelekea kwa uchaguzi mkuu. Akizungumza wakati wa Jukwaa la 15 la Ushirikiano wa Maendeleo, Kindiki aliwasihi washirika wa maendeleo kushirikisha mashirika yote ya serikali kupitia taratibu rasmi zilizowekwa, akisisitiza hitaji la ushirikiano uliopangwa na wa uwazi.
KITHURE KINDIKI - OPEN