Chama cha Maradhi ya figo nchini kimeelezea wasiwasi wake kuhusu jinsi SHA inavyofanya malipo kwa watoa huduma za afya baada ya huduma kutolewa. Rais Jonathan Wala anasema kuwa SHA hurekodi huduma iliyotolewa na kiasi kilicholipwa, lakini haiunganishi malipo hayo na wagonjwa binafsi walioorodheshwa kwenye risiti. Anaonya kuwa hali hii inaweza kufanya iwe vigumu kuhakiki madai hapo baadaye, hasa pale malipo yanapokuwa hayajakamilika.

JONATHAN WALA- SHA

‎