Utambuzi wa mapema, matibabu sahihi na ufahamu wa jamii ni mambo muhimu katika kuboresha maisha ya watu wanaoishi na ugonjwa wa seli mundu. Daktari wa watoto Constance Tenge anasema kuwa uelewa unaweza kusaidia kuhimiza upimaji wa mapema na kuboresha upatikanaji wa huduma za matibabu. Anazihimiza familia na jamii kujielimisha zaidi kuhusu ugonjwa huo na kuwaunga mkono waathiriwa.
CONSTANCE TENGE - DIAGNOSIS