Serikali imetaja kesi zinazoendelea mahakamani kuwa kikwazo kikubwa katika kuundwa ipasavyo kwa Bodi ya Sukari ya Kenya. Akihutubia maseneta, Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe alisema kuwa, kwa mujibu wa sheria, wizara yake imekuwa ikiziba pengo katika shughuli za kiutawala za sekta hiyo ili kuhakikisha mwendelezo.

MUTAHI KAGWE-LITIGATION