Mwanamke mwenye umri wa miaka 21 alipatikana ameuawa kwa kudungwa kisu nyumbani kwa shangazi yake huko Umoja Two, Nairobi, katika tukio ambalo polisi wanahisi linaweza kuhusishwa na ukatili wa kijinsia katika mahusiano ya kimapenzi. Francisca Thuranira alipatikana akiwa amelala bila fahamu kitandani siku ya Jumanne. Polisi walisema alikuwa na majeraha nane ya kuchomwa visu kifuani. Shangazi yake Thuranira aliwaambia polisi kuwa alimwacha nyumbani asubuhi alipokuwa akienda kazini namchana, alipojaribu kumpigia simu hakumpata. Alimtuma jirani kwenda kumwangalia ambaye alipata kitandani akiwa amefariki.
Advertisement
September 10, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing