Ni jukumu la shirika au kampuni kushughulikia na kuzuia uonevu mahali pa kazi. Mwanasaikolojia Florence Ochanda anasema mazingira kazini yanaweza kuwa hatari wakati kuna masuala kama vile uonevu na hili linaweza kuhitaji kushughulikiwa kibinafsi au kupitia HR. Anaongeza kuwa lengo linapaswa kuwa kudumisha mazingira mazuri ya kazi.

FLORENCE OCHANDA – GOAL