Faida za vifaa vya serikali huenda zisitoshe kumhakikishia rais aliye madarakani muhula wa pili. Mchambuzi wa siasa Martin Andati anasema aliye madarakani lazima atetee rekodi yake huku akidumisha au kuongeza wafuasi wake, na kumpa mgombea wa upinzani fursa. Anasema upinzani unaweza kumpinga aliye madarakani kwa kuunganisha idadi yake na kuunda muungano imara.

 

MARTIN ANDATI - INCUMBENT