Endrick ana uwezekano mkubwa wa kubaki Real Madrid kuliko kuondoka kwa mkopo msimu huu, vyanzo vingi vimesema. Mshambuliaji huyo wa Brazil, mwenye umri wa miaka 20 ambaye alitumia nusu ya pili ya msimu uliopita kwa mkopo Lyon, amekuwa akinyatiwa sana wakati wa dirisha hili la uhamisho. Amehusishwa na Roma na Aston Villa, lakini Madrid hawajapokea ofa yoyote rasmi, na imekana kufanya mazungumzo na klabu nyingine yoyote. Alipokea jezi nambari tisa katika orodha ya kikosi cha muda cha Madrid kwa msimu wa 2026-27.
Jua linashuhudiwa Nyahururu, Nyeri na Nanyuki.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.