Msanii Harmonize aliendeleza  juhudi za  kukamilisha msikiti ulioanzishwa na msanii Diamond.

Katika chapisho kwenye ukurasa wake wa mitandao ya kijamii staa huyo wa miziki aina ya Bongo kutoka Mtwara alionekana akimsifia sana Diamond  kwa kuanzisha ujenzi wa mskiti huo katika kijij chao cha Mtwara.

Harmonize aliweza kuonyesha msikiti huo huku akimhongera Diamond kwa kujali watu wa kikijiji chao kule Mtwara hivyo basi akawasema atautamatisha kisha auuite Nasibu jina lake Diamond.

Harmonize ni msani wa bongo ambaye katika sanana yake kimziki amepevuka na kuonekana kuwa bingwa na msanii mpevu sana tena mchapa kazi.

Harmonize anayejulikana kwa jina jingine la Konde Boy ni msanii mwenye viwango vya juu katika utunzi wa mashairi na miziki ambayo imekwenda skuli kwa kucharaza vibao vilivyo vya kipekee.

Ujumbe huo wa Harmonize ulipokelewa vyema na mashabiki wake waliosawiri ujumbe huo kama nyota ya jaha na tena ambayo ni faraja kwao na itawasidia kuweza kusali na kupata ibada kila wakati.

Enjoying this article? Subscribe for unlimited access to premium sports coverage.
View Plans

Harmonize Tangu  utotoni alizaliwa chini ya malezi ya dini kwa hivyo ameipa dini kipaumbele na miongoni mwa malengo ambayo alikuwa akiwazia  kabla ya kujitosa katika sanaaa ya Muziki na kwa sababu dini ilichangia pakubwa kunawiri kwake hata katika kufanikiwa kwake ni lazima itambue dini.

Ujenzi wa mskiti huo unatajiwa kuipa sura mpya kijiji cha mtwara na vilevile  kuhakikisha kuwa  maendeleo yanarudi kwa jamii kwa sababu ya uzalendo na uaminifu.

Ni  Suna njema ambayo tunaisajili kama yenye tija katika maisha ya harmonize kwa sababu itamwezesha kuwa  katiak viango vya kuheshuimika sana  tena kuweza kuimarisha uhusiano wake  na jamii kwa jumla  tena wenye manufaa  kwake.