Visa vya mkurupuko wa kipindupindu nchini Kenya

Kufikia Aprili 6, 2025, visa 97 vya kipindupindu viliripotiwa, huku vifo 6 vikitokea.

Maeneo yaliyoathirika ni Pamoja na Kibera, Dagoretti South, Kasarani, Roysambu, Embakasi East na Embakasi Central katika kaunti ya Nairobi.

Katika kaunti ya Kisumu, maeneo yaliyoathirika ni Nyando na Muhoroni huku Migori ikiathirika maeneo ya Suna East, Suna West, Kuria East na Kuria West.

Katika kaunti ya Nairobi, visa 12 vya kipindupindu vimeripotiwa kifo kikiwa kimoja.

Enjoying this article? Subscribe for unlimited access to premium sports coverage.
View Plans

Kisumu imeripoti visa 32, vifo vikiwa 4 na Migori ikiwa na visa 53 na kifo kimoja.