Fahamu Steven Kanumba, muigizaji wa filamu za Bongo//WILLIAM WANYOIKE

Kanumba alifariki Aprili 7, 2012 kutokana na majeraha ya kichwa baada ya kile kilichotajwa kuwa ni kuanguka baada ya kusukumwa na aliyekuwa mpenzi wake.

Umaarufu wake katika uigizaji ulipata msukumo zaidi mwaka 2006 alipotambulishwa kwa tasnia ya uigizaji Nigeria ambapo baadae aliigiza katika filamu pendwa ya Dar-2-Lagos.

Mpaka kifo chake, Kakumba alitajwa kama balozi wa kueneza ligha ya Kiswahili kupitia uigizaji wake kwenye filamu.