
Wachezaji wanaocheza katika ligi kubwa duniani kwa sasa wako kwenye mapumziko ya wiki mbili ya kimataifa.
Mapumziko hayo ya kimataifa yanawapa wachezaji nafasi ya kuwakilisha mataifa yao katika michezo mbalimbali ya kimataifa huku wengine wakiitumia kupumzika na kujiongezea nguvu.
Kabla
ya mapumziko ya kimataifa, makocha wa timu za taifa huwaita wachezaji wanaotaka
kuiwakilisha nchi yao
Kwa muda mrefu, kuitwa kwenye timu ya taifa kumekuwa kukionekana kuwa ni jambo kubwa, lakini hata hivyo mambo yanaonekana kubadilika huku wachezaji wengi wa juu wakionekana kujiondoa katika timu za taifa hivi karibuni.
Baadhi ya wachezaji wamejiondoa kwenye timu za taifa kwa sababu za msingi, huku wengine wakidaiwa kughushi matatizo ili wasisafiri kuchezea nchi zao.
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji bora ambao wameripotiwa kujiondoa katika timu za taifa:-
Uingereza
ü Trent Alexander-Arnold (Jeraha).
ü Levi Colwill (Jeraha)
ü Phil Foden (Jeraha)
ü Jack Grealish (Jeraha)
ü Cole Palmer (Jeraha)
ü Aaron Ramsdale (Jeraha)
ü Declan Rice (Jeraha)
ü Bukayo Saka. (Jeraha)
ü Lemine Yamal (Jeraha)
Ghana
ü Inaki Williams (Jeraha)
ü Tariq Lamptey (Jeraha)
ü Antoine Semenyo (Jeraha)
ü Alexander Djiku (Jeraha)
Argentina
ü Lisandro Martinez (Jeraha)
Ufaransa
ü Wesley Fofana (Jeraha)
ü Malo Gusto (Jeraha)
Norway
ü Martin Odegaard (Uponyaji kamili)
Comments 0
Sign in to join the conversation
Sign In Create AccountNo comments yet. Be the first to share your thoughts!