Vyama vyote vya siasa vilivyosajiliwa nchini vina hadi leo jioni kuwasilisha majina rasmi na sampuli za saini za maafisa wa chama walioteuliwa kwa Ofisi ya msajili wa vyama vya kisiasa na IEBC. Muda huu wa mwisho ni muhimu ili kuhakikisha kuwa ni watu walioidhinishwa kisheria pekee ndio wanaoweza kutoa vyeti vya uteuzi na kuidhinisha nyaraka rasmi za chama kwa ajili ya wagombea kabla ya uchaguzi wa mwaka 2027. Kwa mujibu wa Ofisi ya msajili, vyama vitakavyoshindwa kutimiza sharti hili vinakabiliwa na hatari ya wagombea wake kuondolewa katika uchaguzi ujao.
Advertisement
October 15, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 6AM 21ST OCT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing