Huenda unajiuliza ni kwa kiasi gani hafla ya kumbukumbu ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, ni muhimu kwa familia yake? Mwanasaokilojia Rachel Kiaritha, anasema kuwa hafla kama hizi huisaidia familia kupata utulivu wa kihisia na kuhifadhi kumbukumbu ya wapendwa wao. Anaongeza kuwa ukweli wa kifo cha mpendwa mara nyingi huingia taratibu katika ufahamu wa walioachwa.


RACHEL KIARITHA- COMMEMORATION