Shirika la Afya Duniani (WHO) limewataka Wakenya kuwa waangalifu lakini wasiwe na hofu kufuatia kuthibitishwa kwa kisa cha Ebola nchini humo. Akizungumza na runinga ya Citizen, Mkuu wa Kitengo cha Dharura za Afya katika WHO, Martins Chibueze, alisema shirika hilo limeanzisha mifumo yake ya kukabiliana na dharura na linashirikiana kwa karibu na serikali kuimarisha ufuatiliaji na kuratibu hatua za kudhibiti ugonjwa huo.
Advertisement
October 14, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 6AM 21ST OCT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing