Mahakama ya Juu hii leo itaanza kusikiliza kesi inayowahusisha Tume ya Mishahara na Malipo (SRC) na majaji kuhusiana na marupurupu ya gari ya Shilingi milioni 10 yanayotozwa ushuru. Kesi hiyo inafuatia hatua ya tume hiyo kuondoa marupurupu hayo kwa hoja kwamba yalianzishwa na kuongezwa nje ya mamlaka yake ya kuweka na kupitia upya mishahara na marupurupu ya maafisa wa serikali.
Advertisement
October 14, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 6AM 21ST OCT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing