
Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro huyo ambaye aliondolewa kama mwenyekiti wa kamati ya bunge ya bajeti alikosoa hatua ya serikali ya rais William Ruto kwa kuongeza ushuru mwaka 2022 akisema kwamba ilidhoofisha uchumi wa taifa.
Alisema kwamba kupandishia wananchi na wawekezaji ushuru hakuongezi pato kwa serikali bali hupunguza kiwango cha ushuru unaokusanywa kutokana na kupungua kwa shughuli za kiuchumi.
Comments 0
Sign in to join the conversation
Sign In Create AccountNo comments yet. Be the first to share your thoughts!