George Oduor ambaye amekuwa mlinzi wa lkinara wa uinzani Raila Odinga alifariki Aprili 2, 2025 akipokea matibabu katika hospitali moja jijini Nairobi. Marehemu Oduor ambaye alikulia mtaa wa Kaloleni Nairobi, alipata mafunzo ya ulinzi wa watu mashuhuri nje na ndani ya nchi.
Maelezo kuhusu msaidizi wa Raila aliyefariki, George Oduor
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles