
Kwa mujibu wa WHO, ugonjwa huo unaathiri baadhi ya watu maskini zaidi duniani na unahusishwa na utapiamlo, watu kuhama makazi yao, makazi duni, kinga dhaifu na ukosefu wa rasilimali fedha.
Dalili zake ni homa isiyo ya kawaida, kupoteza uzani wa mwili, kuongezeka kwa wengu na ini, na anemia.
Inakadiriwa kuwa kesi mpya 50,000 hadi 90,000 za kala-azar hutokea duniani kote kila mwaka, taifa la Brazil likiathirika zaidi.
Comments 0
Sign in to join the conversation
Sign In Create AccountNo comments yet. Be the first to share your thoughts!