
Matasi atakaa nje ya soka la kulipwa kwa muda wa siku 90 uchunguzi huo ukiendelezwa na iwapo atapatikana na hatia vikwazo zaidi vitaelekezwa kwake.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 ambaye kwa sasa amekua AFC Leopard amechezezea vilabu kadha ikiwa pamoja na Kakamega Home boys, Police FC, Tusker fc miongoni mwa vingine.
Mchezaji huyo ambaye ameliwakilisha taifa la Kenya mara kadha aliwahi kucheza nnje ya nchi kati ya mwaka 2018 - 2021. Aliichezea klabu ya St George ya Ethopia.
Comments 0
Sign in to join the conversation
Sign In Create AccountNo comments yet. Be the first to share your thoughts!