
MREMBO mwenye umri wa miaka 22 ambaye ni mwanafunzi katika chuo kikuu amefichua kuuza ubikira wake kwa muigizaji maarufu wa Hollywood kwa pauni milioni 1.6 – sawa na shilingi milioni 268.6 48 za Kenya.
Tajiri huyo mdogo alieleza kwa madaha kwamba hajutii uamuzi wake hata kidogo kwani sasa hivi ni tajiri wa kutamanika.
Licha ya kuzaliwa katika familia 'kali sana' yenye historia ya kidini, mrembo huyo kwa jina Laura kutoka Manchester nchini Uingereza aliiambia MailOnline 'hakutaka kamwe kuwa mtu single asiye na pesa' na alihisi kwamba, kimantiki, uuzaji wa ubikira ulikuwa suluhisho rahisi.
Na ingawa aligundua kuwa mwanamume aliyejitolea zaidi kuchukua ubikira wake alikuwa mwigizaji wa Hollywood ambaye alikuwa ametembelea kisiwa cha Jeffrey Epstein, Laura bado alilala naye.
Karibu mwaka mmoja baada ya kupoteza ubikira wake na utajiri wa Sh268.6 48M, Laura anasema 'hajutii'.
Sasa anatumai kuwa atatumia pesa zake kuboresha urembo wake na anawataka wanaume wanaoweza kumlipa Sh5.04m-kwa-mwezi ili kuonja sehemu ya raha ya kuwa naye.
Kijana huyo aliamua kuuza bikira yake kwa mara ya kwanza mnamo Desemba 2023, wakati ambapo aliwasilisha ombi kwa tovuti ya Cinderella Escorts.
Kisha Laura alialikwa kwenye hafla kukutana na wanunuzi kabla ya 'kupiga hatua zaidi' miezi michache baadaye.
Katika mchakato wa zabuni wenye ushindani mkubwa, 'mwigizaji maarufu wa Hollywood kutoka Los Angeles' alishinda mnada wa ubikira wake, akimshinda 'mwanasiasa kutoka London' na 'mfanyabiashara wa Dubai'.
Kisha, tarehe ya tukio ilipangwa na mwanachama wa timu ya tovuti ya Escorts baadaye aliongozana naye kwenye hoteli ya nyota tano ya London ili kukutana na mtu ambaye alikuwa ameweka zaidi ya £ 1 milioni kufanya naye mapenzi.
Laura alisema kuwa mnunuzi huyo hata alimleta daktari 'kuthibitisha uhalisi' wa ubikira wake kabla ya kulipia.
Anasisitiza kwamba ingawa hakuwa na ‘date’ ya kawaida ya mnunuzi wake, walikuwa wamepanga mkutano hapo awali ili kuhakikisha kwamba 'alijisikia vizuri na wazo la kuchukua hatua zaidi'.
Na, mbali na kuhisi wasiwasi, mwanamke huyo kijana hangeweza 'kusubiri' kufanya mauzo yaliyotarajiwa sana.
Alisema: 'Bikira yangu iliponunuliwa, tulipanga siku ambapo nilialikwa kwenye hoteli ili kulala naye usiku kucha. Alikuwa amekuja na daktari siku hiyo hiyo ili kuthibitisha uhalisi wa ubikira wangu kabla ya kulipia.”
'Hakika haikuwa chochote zaidi ya kuandikishwa kwa Escorts, tofauti ikiwa ni kwamba sikuwahi kufanya mapenzi hapo awali na kiasi nilicholipwa kilikuwa kikubwa zaidi'.