
Rais William Ruto anatarajiwa kulifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri.
Ikulu ya rais siku ya Jumatano ilithibitisha kuwa rais alikuwa anapanga kutangaza mabadiliko hayo.
Read Also
Baraza jipya la mawaziri limesubiriwa kwa hamu na ghamu ili kuashiria sura mpya ya serikali ya pamoja ‘Broad based government’.
Muungano a Kenya kwanza ulitia saini na chama cha ODM kushirikiana hatua ambayo imechangia uhitaji wa kuunda baraza la mawaziri ili kujumuisha washirika wengine.
Tutakuletea taarifa zaidi...