Warembo wengi wa Kenya ambao wana bahati ya kutagusana na pesa, jambo la kwanza katika akili zao ni kuwekeza katika mionekano yao, suala la kupendezwa likichukua asilimia kubwa ya fikira zao.

Hizi hapa ni njia mbalimbali ambazo wengi wa warembo wa Kenya wamekuwa wakitumia kuboresha urembo wao.