Bukayo Saka ni wa hivi punde kufikisha idadi hiyo ya mabao akiwa na umri wa miaka 23 na siku 52.

Robin Fowler wa Liverpool ndiye anayeshikilia rekodi hiyo kwa kufikisha mabao 50 akiwa na umri wa miaka 20 tu.