Jopo la majaji watatu Frida Mugambi, Eric Ogola na Anthony Mrima limekataa kujitoa kusikiliza kesi ya kupinga kuondolewa ofisini iliyowasilishwa na Naibu Rais aliyetimuliwa Rigathi Gachagua.
Majaji hao watatu kwa wakati mmoja walisema Gachagua ana haki ya kukata rufaa kupinga uamuzi huo.
Mahakama pia iliagiza kuwa ombi la kupinga Maagizo ya kuzuia kuapishwa kwa naibu rais mpya lisikizwe kuanzia Oktoba 29 mwendo wa saa nne asubuhi.
Comments 0
Sign in to join the conversation
Sign In Create AccountNo comments yet. Be the first to share your thoughts!