Mwaka huu, 2024, wasanii wengi wa sekula nchini Kenya wamejitahidi zaidi kuachia albamu zenye ladha ya Kikenya. Hizi hapa ni baadhi ya albamu hizo ambazo zimewapunga wengi.