George Baldock: Mchezaji wa zamani wa Sheffield United afariki akiwa na umri wa miaka 31
Beki huyo mzaliwa wa Buckinghamshire, ambaye aliichezea Ugiriki, alipatikana Jumatano kwenye kidimbwi cha kuogelea nyumbani kwake katika kitongoji cha Glyfada kusini mwa Athens, vyanzo vya polisi vililiambia shirika la habari la Reuters.
Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana.
Comments 0
Sign in to join the conversation
Sign In Create AccountNo comments yet. Be the first to share your thoughts!